Isaiah 36:1

Senakeribu Atishia Yerusalemu

(2 Wafalme 18:13-27; 2 Nyakati 32:1-19)

1 aKatika mwaka wa kumi na nne wa utawala wa Mfalme Hezekia, Senakeribu mfalme wa Ashuru akaishambulia miji yote ya Yuda yenye ngome na kuiteka.
Copyright information for SwhKC